Wednesday, October 5, 2011

TUKO JUU ZAIDI YA JAY-Z.... P SQUARE

     

PAUL & PETER OKOYE - P SQUARE
Wasanii twins toka Nigeria,P-Square wamefunguka kuwa wao wako juu kimuziki na wala hawahitaji kupiga collabo na Jay-Z ili mziki wake upigwe Marekani,wakati barani Africa,ni wafalme na kwa Marekani Jay-Z ni mfalme kivyake

Walikua wanaongea kwenye interview kuhusu album yao ya Invasion inayopata airtime ya kutosha kwa sasa,na kuonekana maneno hayo kama ni dongo kwa D'Banj aliye chini ya Label ya G.O.O.D Music ya Artist toka Marekani,Kanye West na kwa sasa wanazi-promote tracks 2 zao mpya za Forever na Do as I do featuring May D

No comments:

Post a Comment