Friday, September 30, 2011

WANAOELEKEA KUMRITHI MICHEAL JACKSON (Chriss Brown,Ne-Yo & Usher

Kama ulipata sikia, kuna wanamuziki wengi ambao baada ya kufariki Michael Jackson wote wanajihisi wanaweza kufuata nyayo zake... as in be the next MJKanyeUsherNeyoChris Brown hawa ndio wahusika wakuu wanaozimia taji la uking wa Pop.
Week iliyopita Neyo alikuwa bize aki'shoot music video ya single yake mpya yenye manjonjo ya kama movie fulani hivi ambayo MJ ndio ilikuwa style yake. Pia R. Kelly alishawahi kufanya kwenye "Trapped In The Closet" video, sasahivi Chris Brown naye kama inavyoonekana pichani akiwa katika shooting ya music video yake mpya ambayo tayari kisha itolea trailer.

presenter anayekuja kwa kasi Tanzania


Niaje mafans wangu mambo yanaenda kutana na mwanadada Matrida Leopord ni mrembo mwenye mvuto na nin mkali unaposikiliza vipindi vyake tofautitofauti, na kati ya vipindi anavyo vilusha hewani ni pamoja na The Bush katika kipindi hiki utapata fulsa ya kusikiliza miziki mipya ya bongo na nje ya bongo pia utaweza pata habari mpya zinazowahusu mastaa mbalimbali  bongo na nje ya bongo. Pia kutana naye katika kipindi cha Lunch na Radio Vision hapa utapata kujua jinsi ya kupika chakula cha aina mbalimbali.Do fans wangu nakusihi sikiliza radio vision 98.0 Bukoba

Thursday, September 29, 2011

news for ciara

wake hapa doVipi mdau, Kapendeza? hajapendeza?... "da halafu ki'top chake kinataka kufanana na changu aliyekuwa demu wangu  hivi...fans hebu cheki  kilivyo mtoa...ntafute nkupe maujajanja ya kumpendezesha demu wako au men wako:)!

Justin Bieber – ‘How to Love RMX"

Lil Wayne and Justin Bieber
Young star Justin Bieber nae amedhirisha ni jinsi gani anaikubali Album mpya ya mtu mzima kutoka YMCMB rapper Lil wayne kwa kufanya RMX ya ngoma ya rapper huyo ambayo kwasasa ina hit kwenye chat kibao za media tofauti duniani Justin Bieber amerudia track inayoitwa "How to Love" kutoka kwenye Album inayoitwa Carter IV ambayo imetoka siku wiki chache zilizopita Umundani ya ngoma hiyo dogo Justin ameonesha uwezo wake wa kuimba na ku rap kama mtu mzima Weezy........

Wednesday, September 28, 2011

Ujio mpya wa Bow Wow – ‘I’m Better Than You’ [Mixtape]

I'm Better Than You 
Rapper ambae kwasasa anapeperusha bendera ya YMCMB mtu mzima Bow wow amerudi tena na Bonge la Mixtape ambayo inaitwa 'I'm Better Than You' mzigo ambao yeye amaemua kuufannya kama utangulizi kabla ya Album yake ambayo inatarajiwa kudondoka sokoni December 6 ya mwaka huu Bow wow amesema kwenye Mixtape hiyo kuna track 11 na zote ni kali ikawamu kupiga Collaboration na Rafiki yake kipenzi Chris Brown na God Father wake mtu mzima Jermaine Dupri

Friday, September 16, 2011

MWEZI HUU NDIYO MWISHO WA DUNIA

Mchungaji wa kanisa moja huko California Marekani, Harold Camping, ametabiri kuwa Mei 21,2011 saa moja kamili usiku mwisho wa dunia, na huenda tusiione tena jumapili ya wiki ijayo, kwani dunia itakuwa imefika mwisho wake siku hiyo ya Jumamosi.

Mchungaji Camping kwa kutumia mahesabu ya tarehe na mafunzo ya Biblia, ametabiri kuwa kiama kitakuwa jumamosi, na miezi mitano baadae kwenye tarehe 21 Oktoba, Mungu ataiteketeza dunia.

Mchungaji Camping ambaye anamiliki radio ya Christian Family Network yenye mtandao mkubwa sana nchini humo na sehemu zingine duniani ikiwa inarusha matangazo kwa lugha zaidi 48 zikiwemo lugha kutoka Afrika Kusini.

Camping mwenye umri wa miaka 89 ana wafuasi wengi sana duniani na sasa anaendesha kampeni kubwa kuwajulisha watu kuhusu mwisho wa dunia hapo Mei 21

tukufu (5, 10, 17) mara mbili {5x10x17x5x10x17}








Hii sio mara ya kwanza kwa mchungaji Camping kutabiri matukio makubwa duniani coz Septemba 6 mwaka 1994 akiwa na wafuasi wake wengi walikusanyika mbele ya ukumbi wa Alameda wakisubiri kurudi kwa Yesu Kristo ambaye hakutokea na tangu wakati huo,camping amesema kuwa wamefanya utafiti mkubwa sana na hivyo wana uhakika safari hii utabiri wao utakuwa sahihi.

Nguzo ya Hip Hop kundi la X-Plastaz iliodondoshwa na Kisu

 
Jumatatu ya 27 March Mwaka 2006 Fans wa Swahili Hip hop World wide dunia nzima walikua na simanzi kutokana na Taarifa za kifo cha Nelson Chrizostom Rutta/maarufu kama Faza Nelly ambae alikufa kutokana na Majeraha ya kuchomwa na Kisu mara tisa na Jirani yake akijulikana na kama Moses Yohana Kilevo, Baadhi ya watu watakua wanajiuliza Faza Nelly ni nani? Kuna majibu mengi katika swali hilo, lakini Jibu kwa Katika Music Industry ni kwamba Faza Nelly ni Mwanzilishi wa kundi la XPlastaz, Kundi la Rap kutoka A-town ambalo lilikua na Memberz sita wengi wao wakiwa ni ndugu, kundi lilijilikana world wide kupitia Concert tours walizofanya Brazil, Holland, U.K na sehem nyingine duniani without forgetting their Mama land Tanzania, na umaarufu wa X-Plastaz unatokana na kwamba walikua wakitumia Hardcore Beats, Swahili Rhymes na Traditional Maasai Music ambayo huimbwa na Maasai Warrior akiitwa Merege, Memberz wa X-plastaz ni Ziggy Lah, G Ssan,Steve, MeregeDiney na The late Faza Nelly,

Kifo cha Faza Nelly
Kama nilivyosema mwanzo mchizi aliyehusika na Mauaji ya Faza Nelly alikua ni jirani yake moses yohana Kilevo, Jirani huyo alikua na Historia ya kuwatishia jirani zake siku zote kama vile kuandika kwenye Kuta za kitaani kwao kuwa yeye ni muuaji/ Iam a Killer bila kujali hata watoto wake wanaona maandishi hayo na inaweza kuwaathiri watoto hao…
Mambo kama hayo ya kutokusomeka kwa Jirani huyo yaani Moses Yoahana Kilevo yalisababisha majirani wote kuungana na Kusgn barua ya kuomba kwa serikali ya mtaa kum’hamisha kitaani hapo kwa kilicho elezwa kuwa hawana imani nae kutokana na vitisho vya kuua alivyokua anavitoa kwa wenzake mara kwa mara,,,,,
Kuna siku moja, mmoja kati ya marafiki wa Faza Nelly ambae alikua akiishi nyumba moja na Faza Nelly na Moses Pia, anaitwa Musa alijaribu kuzungumza na Muuaji Moses ambae inasemekana baadae akaenda kushtaki polisi kuwa Moses alimkaba na kumwibia, kitu ambacho hakikuwa kweli,
Faza nelly alijaribu kuwashawishi polisi kuwa shutuma hizo dhidi ya Musa hazikuwa kweli na alikua akisingiziwa na Muuaji Moses Kilevo, na kwamba Majirani wote wanalijua hilo, ndipo polisi wakamwambia basi aende na Majirani kutoa ushahidi, Faza Nelly akarudi home na kujaribu kuzungumza na Muuaji Moses ambae alikasirishwa na Tukio hilo na kutaka kupigana na Faza Nelly, ili kuepusha ugomvi Nelly aliamua kurudi chumbani kwake, kulala, sekunde chache baadae Muuaji Moses akamjia na Kisu kisu kikubwa na Kumchoma nacho Faza nelly Sehemu tofauti za mwili wake mara Tisa, ikiwemo puani, begani na Kwenye Mapafu.
Kwa mujibu wa familia yake na Mazingira, inasemekana hakukua na Mapigano kabisa katika Tukio hilo, Na Faza Nelly alikua ni Mtu amani/ mpole, Mkarimu ambae hakuweza kumdhuru mtu yeyote, na hii ilijidhihirisha kwenye Lyrics zake kama katika Tittle ya ngoma yake inaitwa NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI, na ndio maana hata aliposhambuliwa na Muuaji Moses Kilevo alishindwa kujitetea, ukizingatia pia alishambuliwa kutoka mgongoni,
Baada ya Tukio hilo Nelly akaspend siku mbili Hospitalini akiwa anatumia mashine za kupumulia, madaktari walijaribu kuokoa maisha yake lakini walipotaka kumfanyia Surgery kwa mara ya pili, ghafla hali yake ikawa mbaya sana na kufariki mbele ya madaktari na Rafiki yake Musa.

Muuaji…Moses Yohana Kilevo
Alikua ni baba wa familia ya watoto wawili na mke mmoja, alikua ni mtu timamu yaani hakua kichaa, na alijulikana kwa vitendo vyake vya vitisho kwa majirani zake, hakua mstaarabu kabisa, baada ya tukio hilo la kikatili Muuaji huyu alikimbia na hajaonekana mpaka leo, Polisi bado wanafanya upelelezi na kuna uwezekano mkubwa kuwa alikimbilia Nairobi kwani huko ana ndugu, kipindi kile familia ya Faza Nelly iliweka laki tano kwa mtu yeyote atakaye fanikisha kukamatwa kwa muuaji huyo.
                            Hapa ndipo mwili wa marehemu Faza Nelly

  
                       

ADAM MCHOMVU (ma brother from another mother) baba jonii

Jamaa ni kati ya watu ninao wakubali kwan jamaa huwa anakuwaga wazi kwa watu wanaoeenda kinyume na taratibu

Hatimae Langa kuachana kabisa na matumizi ya madawa yakulevya

 
Msanii mwenye heshima kubwa kwenye muziki wa Hip Hop Tanzania mtu mzima Langa ambae kwa muda mrefu alikua amejikita kwenye matumizi ya madawa ya kulevya (Unga) amewashangaza wasikilizaji kwan  ametimba ndani ya the people's station Clouds FM kwenye kipindi cha XXL akiwa ameweza kutambulisha ujio wake mpya kwenye game na pia kutoa tamko rasmi kua kwasasa amefanikiwa kujitoa kwenye matumizi ya madawa ambayo yalimtesa kwa muda wa miaka zaidi ya mitano na kueleza mipango yake ya kuanzisha rehab yake mwenyewe ambayo itaweza kusaidia vijana ambao wanapitia matatizo ambayo yeye ameyapitia na akaweza kujitoa...................................

Rihanna ajiunga na J. Cole & Trey Songz kwenye Video yao mpya

J. Cole, Rihanna, and Trey Songz
 Mwanadada Rihanna ame show love kwa kuwaonesha support J.cole na Trey songz kwakutokea kwenye video yako mpya ya ngoma yao inayoitwa “Can’t Get Enough” ambayo video hiyo ilikua inafanyika weekend hii iliopita ambapo rihanna alitimba akiwa ametupia vinguo flan vya ufukweni ila kama kawaida dada huyu aachagi matukio…alionekana akiwa nawasha kitu cha cigar live wakati video hiyo ilipokua anaendelea…..
 

Chameleon abadilisha dini nakua muislam, Nakujiita ‘Gaddafi

 
Artist kutoka uganda jose chameleon siku ya ijumaa, alibadili dini na kuwa muislam katika msikiti wa kinuli nchini uganda ambapo hivi sasa artist huyo anaitwa gaddafi chameleone ambaye alifatana na artist mwenzake haruna mubiru na grace sekamate wote wakitokea eangles production ingawa bado chameleon hajafunguka rasmi sababu ambazo zimemfanya kubadili dini ghafla, lakini uamuzi wake umeshtua watu wengi haswa mashabiki wake....



 







Salaam za pole kwa waathirika wa ajali ya meli Zanzibar

Moses Hosea anapenda
  kutoa pole kwa watu wote waliwapoteza ndugu,jamaa na marafiki katika ajali ya meli Zanzibar na pia inawapa pole majerui wote walionusurika kwenye ajali hiyo….Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi sote tuliwapenda ila mwenye enzi mungu kawapenda zaidi….