Wednesday, October 5, 2011

SEAN KINGSTONE ALILIA SAA YAKE

Baada ya kufanya bonge la performance pande za Lugogo cricket oval,Sean Kingston alishuka kwenye stage na kuitwa tena na MC of the night,Dave Kazoora na Kazoora kuanza kumfagilia Sean Kingston kwa show kali ya nguvulakini alifunguka zaidi kwa kuomba saa yake na kudai kuwa international artist yoyote anayekuja Uganda,huwa wanabadilishana vitu coz alivyokuja R Kelly hajakuwepo na kwa sasa itabidi arekebishe









Sean Kingston kwanza alishangaa mwisho wa siku akavua saa kumpa MC na yeye kuvaa ya MC na kushuka kwenye stage

Lakini Backstage,Sean Kingston alikomaa kudai saa yake kwa waandaaji akidai kuwa MC alimdanganya eti International artist wote wakija hubadilishana vitu na wao na pia kwa kua alikua mbele ya fans wake asingeweza kukataa na mwisho wa siku ilibidi MC Kazoora kurudisha saa ya Sean Kingston kabla hajaondoka Uganda fna baadaye MC Kazoora alitupia kwenye Facebook account akifunguka ilikua ni utani tu na wala yeye si tapeli na wala siyo njia nzuri ya kuomba vitu na wala asionekane wa ajabu







No comments:

Post a Comment