Tuesday, December 20, 2011

PICHA 13 ZA NYUMBA ya PROFESA JAY kwa ndani!


kwa nje, kama ulimiss hizi picha za nje nilishazitoa kwenye millardayo.com zaidi ya mwezi mmoja uliopita.
sitting room.
sitting room bado
.
.
Dinning, ndio alikua anamalizia kufunga vitu.
kuingia kwenda vyumbani.
kwenye kordo anapoweka viatu.
kwenye kordo bado, nyumba yake ndio chumba chake cha kulala.
hapa ndipo anapolala PROFESA J.
chumbani kwake bado.
Prof akiwa kwenye kibaraza cha chumbani kwake.
.
Prof ameniambia hii nyumba alianza kuijenga mwanzoni mwa miaka ya 2000, na kiwanja alikinunua kutokana na shinikizo la MAREHEMU COMPLEX, aliemwamboa “bro we mtu kubwa sana sasa hivi, unapaswa kuwa na kiwanja na nyumba inayoendana na hadhi yako”
mpaka sasa bado Prof hajapiga hesabu kufaham ni kiasi gani alitumia kujenga hii CRIB, lakini amekiri kwamba KAMA SIO UJANA wa MJINI, angekua ameimaliza siku nyingi sana, alikua anapata hela nyingi lakini hakuwezekeza kwa kishindo kama ilivyotakiwa, alinunua pia magari ya kifahari kama BENZ na BMW ambayo sasa hivi hayuko nayo tena.

NDOA ya MAMA BEYONCE YAVUNJIKA RASMI.

 
             Mathew Knowles, Beyonce & mama mzazi

zikiwa zimebaki siku chache kwa mwimbaji BEYONCE kujifungua mtoto wake wa kwanza, TMZ wameripoti kwamba HATIMAE wazazi wa mwimbaji huyo WAMEACHANA RASMI kwa TALAKA.

mama mzazi wa BEYONCE amesema NDOA YAO imevunjia kutokana na kutokuwepo kwa maelewano mazuri kati yake na mumewe, ambapo sababu nyingine za kuvunjika kwao ni za ndani sana hawawezi kuziweka wazi.
mwaka 2009 mama Beyounce alidai talaka baada ya kugundua mahusiano ya kimapenzi kati ya mume wake na mwigizaji Alexsandra Wright, ambae alijifungua mtoto siku kadhaa baada ya hiyo talaka, na mtoto alipopimwa ikathibitika kwamba mtoto ni wa BABA YAKE Beyonce kweli, soo ndio ikawa kubwa zaidi hapo, ambapo baba yake Beyonce aliamriwa na mahakama kwamba aanze kutoa pesa za kumtunza mtoto.
Mathew Knowles & mwigizaji Alexsandra Wright waliezaa pamoja.