Tuesday, December 20, 2011

NDOA ya MAMA BEYONCE YAVUNJIKA RASMI.

 
             Mathew Knowles, Beyonce & mama mzazi

zikiwa zimebaki siku chache kwa mwimbaji BEYONCE kujifungua mtoto wake wa kwanza, TMZ wameripoti kwamba HATIMAE wazazi wa mwimbaji huyo WAMEACHANA RASMI kwa TALAKA.

mama mzazi wa BEYONCE amesema NDOA YAO imevunjia kutokana na kutokuwepo kwa maelewano mazuri kati yake na mumewe, ambapo sababu nyingine za kuvunjika kwao ni za ndani sana hawawezi kuziweka wazi.
mwaka 2009 mama Beyounce alidai talaka baada ya kugundua mahusiano ya kimapenzi kati ya mume wake na mwigizaji Alexsandra Wright, ambae alijifungua mtoto siku kadhaa baada ya hiyo talaka, na mtoto alipopimwa ikathibitika kwamba mtoto ni wa BABA YAKE Beyonce kweli, soo ndio ikawa kubwa zaidi hapo, ambapo baba yake Beyonce aliamriwa na mahakama kwamba aanze kutoa pesa za kumtunza mtoto.
Mathew Knowles & mwigizaji Alexsandra Wright waliezaa pamoja.

No comments:

Post a Comment