Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya(bongo flava) Ally Timbulo (Timbulo) amefumwa akifanya kitu mbaya na msanii chipukizi wa filamu Isabela Francis(Vai wa ukweli),tukio hili lilitokeajuzi usiku wa manane maeneo ya Ilala ambapo kamera yetu ilinasua uhondo huo.
Pia kuna tetesi kuwa Timbulo ana uhusiano wa kimahaba na Msanii wa kuigiza Jackline wa chuzi,Msanii huyu anatamba na kibao cha 'Domo langu zito' amekuja kwa kasi upande wa mabinti kwani mwezi uliopita ilivuma kuwa anatoka na Shilole.
No comments:
Post a Comment