
GREG KADING - FORMER LAPD OFFICER
Miaka 15 baada ya kifo cha West Coast rap legend Tupac Shakur,Mpelelezi wa zamani wa LAPD,Greg Kading amemtaja Sean 'diddy' Combs aka Diddy kwenye kitabu chake cha Murder Rap,kuwa alihusika na alifadhili mauaji ya Rapper Tupac Shakur

SEAN 'DIDDY' COMBS - DIDDY
Kitabu chake kitakua kitaani kesho Oct 4,2011 na amekusanya ushahidi toka kwenye tapes na document nyingine toka kwa watu muhimu waliohojiwa kuhusiana na mauaji ya 2Pac Shakur na Biggie Smalls
THE LATE - 2 PAC SHAKUR
Na Kading kuwa baadaye yeye aliondolewa kwenye kesi hiyo,lakini kwa mujibu wa vielelezo alivyokusanya,ushahidi unambana Sean "Puffy" Combs aka Diddy kuhusiana na kifo cha Tupac Shakur na kua alitoa mkwanja wa dola milioni 1 kwa ajili ya utekelezaji wa mauaji hayo
No comments:
Post a Comment