Kama ulipata sikia, kuna wanamuziki wengi ambao baada ya kufariki Michael Jackson wote wanajihisi wanaweza kufuata nyayo zake... as in be the next MJ. Kanye, Usher, Neyo, Chris Brown hawa ndio wahusika wakuu wanaozimia taji la uking wa Pop.
Week iliyopita Neyo alikuwa bize aki'shoot music video ya single yake mpya yenye manjonjo ya kama movie fulani hivi ambayo MJ ndio ilikuwa style yake. Pia R. Kelly alishawahi kufanya kwenye "Trapped In The Closet" video, sasahivi Chris Brown naye kama inavyoonekana pichani akiwa katika shooting ya music video yake mpya ambayo tayari kisha itolea trailer.





No comments:
Post a Comment