Niaje mafans wangu mambo yanaenda kutana na mwanadada Matrida Leopord ni mrembo mwenye mvuto na nin mkali unaposikiliza vipindi vyake tofautitofauti, na kati ya vipindi anavyo vilusha hewani ni pamoja na The Bush katika kipindi hiki utapata fulsa ya kusikiliza miziki mipya ya bongo na nje ya bongo pia utaweza pata habari mpya zinazowahusu mastaa mbalimbali bongo na nje ya bongo. Pia kutana naye katika kipindi cha Lunch na Radio Vision hapa utapata kujua jinsi ya kupika chakula cha aina mbalimbali.Do fans wangu nakusihi sikiliza radio vision 98.0 Bukoba
Friday, September 30, 2011
presenter anayekuja kwa kasi Tanzania
Niaje mafans wangu mambo yanaenda kutana na mwanadada Matrida Leopord ni mrembo mwenye mvuto na nin mkali unaposikiliza vipindi vyake tofautitofauti, na kati ya vipindi anavyo vilusha hewani ni pamoja na The Bush katika kipindi hiki utapata fulsa ya kusikiliza miziki mipya ya bongo na nje ya bongo pia utaweza pata habari mpya zinazowahusu mastaa mbalimbali bongo na nje ya bongo. Pia kutana naye katika kipindi cha Lunch na Radio Vision hapa utapata kujua jinsi ya kupika chakula cha aina mbalimbali.Do fans wangu nakusihi sikiliza radio vision 98.0 Bukoba
Labels:
mweusi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment