TOWN PLANNER
Wednesday, November 9, 2011
Behind the scene : Birdman ft Nicky Minaj & Lil wayne - "Y U Mad"
Baba wa kundi la YMCMB mtu mzima Birdman yuko mbioni kuachia bonge la video ya nyimbo yake ambayo amemshirikisha Nicky Minaj & Lil wayne ngoma inayoitwa " Y U Mad" ngoma mbayo habari zilizopo chini ya kapeti ni kua ni Diss treck kwa mtu mzima Jay Z ndo maana Birdman akaamua kuifanyia video ya hatari yani ndani ya video hiyo YMCMB kama kawaida yao kuonesha vitu vyao vya kifahari wanavyovimiliki na kuvitumia ila katika video hii wamefanya kufuru
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment