Wednesday, November 23, 2011

WEMA SEPETU kwa mara nyingine tena!!!!!!



    

Movie star wa bongo WEMA SEPETU, wife to be kwa DIAMOND PLATNUMS, amesema picha iliyotolewa kwenye gazeti moja la kila wiki akionekana bila nguo kuanzia kiunoni mpaka kichwani, iliibwa kwenye simu yake na mmoja kati ya marafiki zake.
Amesema hiyo picha ilikua kwa ajili ya mume wake mtarajiwa ambae ni DIAMOND, zaidi ya hapo hakua na nia nyingine yoyote na hiyo picha, lakini gafla akashtukia imesambazwa na kupelekwa kwenye gazeti.
hajaipeleka kwenye gazeti kama watu wanavyomsingizia, na wala hapendi kuanikwa hivyo kwenye magazeti……”nina ndugu zangu na watu wanaoniheshimu, hichi kitu kinaniharibia sana kuandikwa kiasi hicho, lakini kila kitu kinaenda na mazoea na inafikia point inabidi nikubali tu jinsi mambo yanavyokwenda” Wema aliiambia millardayo.com

Tuesday, November 8, 2011

Lady Gaga,Bruno Mars,Justin Beiber & Jusssie J wakimbiza mbaya kwenye MTV Europe Music Awards 2011

 
Lady Gaga ameshine mbaya kwenye MTV Europe Music Awards 2011 kwakushinda Tuzo nne ambazo ni kama "Best Female Artist,Best Song na Best Video ambayo ni "Borrn This Way" pia aliweza kuperform nyimbo yake mpya inayoitwa "Marry the Night" ambapo dogo Justin Beiber aliweza kuinua umati na nyimbo yake ya Chrismas inayoitwa "Mistletoe" na "Never say Never" Huku Bruno Mars akapanda na kitu cha "Marry You" na pia wengine kibao kama Ludacris,Taio Cruz etc..